Please use this identifier to cite or link to this item:
https://hdl.handle.net/20.500.12348/830
Mfumo wa Ikolojia katika uvuvi mdogomdogo unaoendeshwa kwenye bahari za tropiki: Tanzania

Abstract
- Usimamizi hafifu wa uvuvi umechangia katika uharibifu wa rasilmali, kukuza umaskini na ukosefu wa uhakika wa chakula duniani kote. Ili kudhibiti hali hii, mfumo wa ikolojia, unaotoa kipaumbele kwenye uendelevu na usawa katika usimamizi wa uvuvi, umebuniwa. Mpango huu unaoendeleza mfumo wa ikolojia katika uvuvi mdogomdogo wa bahari kwenye maeneo ya tropiki, unafadhiliwa na European Union, na unaongozwa na Taasisi ya WorldFish. Mpango huu unatekelezwa kwa ushirikiano na nchi za Indonesia, Philippines, visiwa vya Solomon na Tanzania. Lengo la mpango huu ni kutumia mfumo wa ikolojia katika usimamizi wa uvuvi ili kuboresha uendeshaji na utawala wa uvuvi mdogomdogo na kuinua uwezo wake katika kuchangia kupunguza umaskin.
Collections
View/ Open
Date
- 2013
Author
-
Evans, L.
-
Mwaipopo, R.
-
Mgaya, Y.
-
Daw, T.
-
Brown, K.
-
Kamanyi, E.
-
Haule, W.
AGROVOC Keywords
Type
- Brochure
Publisher
- WorldFish