Mfumo wa Ikolojia katika uvuvi mdogomdogo unaoendeshwa kwenye bahari za tropiki: Tanzania
Views
0% 0
Downloads
0 0%
Open access
Loading...
Files
Collections
Usimamizi hafifu wa uvuvi umechangia katika uharibifu wa rasilmali, kukuza umaskini na ukosefu wa uhakika wa chakula duniani kote. Ili kudhibiti hali hii, mfumo wa ikolojia, unaotoa kipaumbele kwenye uendelevu na usawa katika usimamizi wa uvuvi, umebuniwa. Mpango huu unaoendeleza mfumo wa ikolojia katika uvuvi mdogomdogo wa bahari kwenye maeneo ya tropiki, unafadhiliwa na European Union, na unaongozwa na Taasisi ya WorldFish. Mpango huu unatekelezwa kwa ushirikiano na nchi za Indonesia, Philippines, visiwa vya Solomon na Tanzania. Lengo la mpango huu ni kutumia mfumo wa ikolojia katika usimamizi wa uvuvi ili kuboresha uendeshaji na utawala wa uvuvi mdogomdogo na kuinua uwezo wake katika kuchangia kupunguza umaskin.
Citation
WorldFish. Penang, Malaysia. Kipeperushi: 2013-22
Permanent link
DOI
Other URI
Date available
2013
Type
Publisher
WorldFish